Mashangilio 92 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuushukuru wongofu wake Mungu.Wimbo wa kuiimbia siku ya mapumziko.

1Ni kitu kizuri kumshukuru Bwana na kuliimbia Jina lako, ulioko huko juu,

9Kwani, Bwana, ukiwatazama wao wachukivu wako, ukiwatazama vema wao wachukivu wako, mara hupotea, wote wafanyao maovu hutawanyika.

10Lakini baragumu langu umelielekeza juu kama pembe za nyati, nikafurikiwa na mafuta ya mwaka huu.

12Mwongofu atachipuka kama mtende, atakua kama mwangati ulioko Libanoni.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help