Wakolose 4 - Swahili Roehl Bible 1937

1Ninyi mabwana, wapeni watumwa wenu yawapasayo, mwalinganishe! Jueni, nanyi mko na Bwana mbinguni!Paulo anawahimiza, wamwombee.

2Fulizeni kumwomba Mungu! Kesheni kuomba na kushukuru!

7Mambo yangu yote yalivyo, atawatambulisha Tikiko aliye ndugu mpendwa na mtumishi mwelekevu na mtumwa mwenzangu, kwa kuwa wake Bwana.

8Nami nimemtuma kwenu kwa ajili ya neno lili hili, mpate kuyatambua mambo yetu, naye ataituliza mioyo yenu.Salamu.

10Aristarko, mfungwa mwenzangu, na Marko, mpwae Barnaba, wanawasalimu ninyi; kwa ajili yake yeye mmepata maagizo; atakapokuja kwenu, mpokeeni!

18Salamu hii naiandika kwa mkono wangu mimi Paulo. Ikumbukeni hii minyororo yangu! Upole uwakalie! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help