Waebureo 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Kristo ni mkuu kuliko malaika na viumbe vyote.

1Kale Mungu alisema na baba zetu vinywani mwa wafumbuaji mara nyingi na kufuata njia.

2Siku hizi za mwisho amesema na sisi kinywani mwa Mwanawe, aliyemweka kuwa kibwana chao yaliyo yake yote. Yeye ndiye, ambaye aliumba naye hata ulimwengu wote.

9Wewe ulipenda wongofu, ukachukia upotovu.

Kwa hiyo Mungu aliye Mungu wako

alikupaka mafuta ya kufurahisha kuliko yale ya wenzio.

10Tena anasema:

Wewe Bwana, mwanzoni uliiweka misingi ya nchi,

mbingu nazo ni kazi ya mikono yako wewe.

11Hizo zitaangamia, lakini wewe unafuliza kuwapo.

Kweli, zote zitachakaa kama nguo,

12nawe utazizinga kama nguo ya kujitandia;

zitachujuka kama nguo.

Lakini wewe ndiwe yuleyule uliyekuwa,

miaka yako haitakoma.

13Lakini yuko malaika, aliyemwambia po pote:

keti kuumeni kwangu,

mpaka niwaweke adui zako

chini miguuni pako?

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help