1Isaka akamwita Yakobo, akambariki, akamwagiza kwamba: Usioe mwanamke katika vijana wa kike wa Kanaani!Ndoto ya Yakobo: Ngazi ya kupandia mbinguni.
10Yakobo akaondoka Beri-Seba, akaenda Harani.
11Njiani alipofika mahali palipomfaa akalala hapo usiku, kwani jua lilikuwa limekuchwa. Akachukua jiwe la hapo, akaliweka chini ya kichwa chake, akalala mahali pale.
12Akaota, akaona ngazi, ilikuwa imesimikwa nchini, lakini ncha yake iligusa mbinguni; alipotazama akona, malaika wa Mungu wakipanda, tena wakishuka hapo.Yakobo aliyoyaapa huko Beteli.
18Asubuhi na mapema Yakobo akaamka, akalichukua lile jiwe, aliloliweka chini ya kichwa chake, akalisimika kuwa kielekezo, akalimiminia mafuta juu yake,
19akapaita mahali pale jina lake Beteli (Nyumba ya Mungu), lakini kwanza ule mji uliitwa Luzi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.