Mateo 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Ukoo wa Yesu Kristo.(1-17: Luk. 3:23-38.)

1Chuo cha uzao wake Yesu Kristo, mwana wa Dawidi, mwana wa Aburahamu, ni hiki:

2Aburahamu alimzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo, Yakobo akamzaa Yuda na nduguze,

7Dawidi na mkewe Uria wakamzaa Salomo,

23Tazama, mwanamwali atapata mimba, atazaa mtoto

mwanamume, nalo jina lake watamwita Imanueli, ni kwamba:

Mungu yuko nasi.*

24Yosefu alipoamka katika usingizi akatenda, kama malaika wa Bwana alivyomwagiza. Akamwoa mchumba wake,

25lakini hakumkaribia, mpaka alipomzaa mwanawe wa kwanza. Akamwita jina lake YESU.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help