1Wakaja Mafariseo na Masadukeo, wakamjaribu wakitaka, awaonyeshe kielekezo kitokacho mbinguni.Chachu ya Mafariseo.
5Wanafunzi walipofika ng'ambo walikuwa wamesahau kuchukua mikate.
6Yesu akawaambia: Tazameni, jilindeni kwa ajili ya chachu yao Mafariseo na Msadukeo!Ufunuo wa mateso.(21-28: Mar. 8:31-9; 1 Luk. 9:22-27.)
21*Tokea hapo Yesu Kristo akaanza kuwaonyesha wanafunzi wake, ya kuwa imempasa kwenda Yerusalemu ateswe mengi nao wazee na watambikaji wakuu na waandishi, mpaka auawe, kisha afufuliwe siku ya tatu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.