2 Wafalme 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Elia anapazwa mbinguni.

1Bwana alipotaka kumpaza Elia mbinguni kwa nguvu za upepo wenye ngurumo, Elia na Elisa walikuwa wakienda njiani kutoka Gilgali.

2Elia akamwambia Elisa: Kaa hapa! Kwani Bwana amenituma kwenda Beteli. Elisa akajibu: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, tena hivyo, wewe mwenyewe ulivyo mzima, sitakuacha kabisa. Wakatelemka kwenda Beteli.

3Ndipo, wanafunzi wa wafumbuaji waliomo Beteli walipomtokea Elisa, wakamwambia: Unajua, ya kuwa leo Bwana atamwondoa bwana wako kichwani pako? Akasema: Nami nayajua, nyamazeni tu!

4Elia akamwambia: Elisa, kaa hapa! Kwani Bwana amenituma kwenda Yeriko. Akajibu: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, tena hivyo, wewe mwenyewe ulivyo mzima, sitakuacha kabisa. Wakaja Yeriko.

5Ndipo, wanafunzi wa wafumbuaji waliomo Yeriko walipomjia Elisa, wakamwambia: Unajua, ya kuwa leo Bwana atamwondoa bwana wako kichwani pako? Akasema: Nami nayajua, nyamazeni tu!

6Elia akamwambia: Kaa hapa! Kwani Bwana amenituma kwenda Yordani. Akajibu: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, tena hivyo, wewe mwenyewe ulivyo mzima, sitakuacha kabisa. Wakaenda wote wawili.

7Watu hamsini waliokuwa wanafunzi wa wafumbuaji wakaja, wakasimama mbali ng'ambo ya huku, wao wawili waliposimama Yordani.

8Ndipo, Elia alipolishika joho lake, akalizinga, akalipigisha maji; ndipo, yalipogawanyika huku na huko, nao wote wawili wakapita pakavu.Roho na nguvu za Elia zinamkalia Elisa.

13Kisha akaliokota joho lake Elia lililokuwa limeanguka, akarudi, akasimama kando ya mto wa Yordani.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help