1Jihimizeni kukimbia, ninyi wana wa Benyamini, mtoke Yerusalemu! Namo Tekoa pigeni baragumu! Nako kwenye Beti-Keremu twekeni bendera, kwani toka kaskazini yanakuja mabaya yanayotisha na mavunjiko yaliyo makuu.Yeremia amefanya kazi za bure.
27Nimekuweka kwao walio ukoo wangu, uwajaribu, kwani ni wagumu, uwatambue ukizijaribu njia zao.
28Wao wote ndio wabishi wenyewe waendao wakisingizia, ni wagumu kama shaba na vyuma, wao wote ndio wapotezaji wabaya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.