Filemoni 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Anwani.

1Mimi Paulo niliyefungwa kwa ajili yake Kristo Yesu na ndugu yetu Timoteo tunakusalimu wewe, Filemoni, uliye mpendwa wetu na mwenzetu wa kazi.Upendo wake Filemoni.

4Namtolea Mungu wangu shukrani siku zote nikikukumbuka katika kuomba kwangu.

5Kwani nimesikia, unavyompenda Bwana Yesu na kumtegemea, hata unavyowapenda watakatifu wote.

6Nakuombea, hivyo, tulivyo mmoja kwa kumtegemea Mungu, vikupe nguvu ya kutambua kwamba: Mema yote, mlio nayo, sharti mmrudishie Kristo!Paulo anamwombea Onesimo.

8Kwa hiyo, ijapo Kristo anipe moyo mkuu wa kukuagiza likupasalo,

9kwa ajili ya ule upendo wako nataka kukubembeleza tu. Tazama mimi Paulo nilivyo! Ni mzee, tena hata sasa mfungwa wake Kristo Yesu.

10Nakubembeleza kwa ajili ya mtoto wangu, niliyemzaa humu kifungoni mwangu; ndiye OnesimoSalamu.

21Nimekuandikia, kwa sababu nimejipa moyo wa kwamba: Utatii, tena najua, ya kuwa utafanya kuyapita yale, niliyoyasema.

22Kisha nitengenezee chumba cha kufikia! Kwani kingojeo hiki ninacho cha kwamba: Mtanipata tena kwa ajili ya kuomba kwenu.Fil. 1:25; 2:24.

23Wanakusalimu akina Epafura aliyefungwa pamoja nami kwa ajili ya Kristo YesuKol. 1:7; 4:12.

24na Marko na Aristarko na Dema na Luka walio wenzangu wa kazi.Kol. 4:10,14.

25Upole wa Bwana Yesu Kristo uzikalie roho zenu! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help