1Ninyi m watoto wake Bwana Mungu wenu; kwa hiyo msijichanje chale, wala msizinyoe nyushi katikati ya macho yenu kwa ajili ya mfu!Mafungu ya kumi.
22Mwaka kwa mwaka sharti utoe fungu la kumi la mapato yote ya mbegu zako zitakazotoka shambani.
28Miaka mitatu itakapopita, mafungu yote ya kumi utakayoyatolea mapato yako ya mwaka huo, uyaweke malangoni pako.5 Mose 26:12-15.
29Kisha Walawi, kwa kuwa kwako hawana fungu lao la nchi lililo lao wenyewe, na waje pamoja na wageni, nao wliofiwa na wazazi, nao wajane waliomo malangoni mwako, na waje, wale, washibe! Hivyo ndivyo, Bwana Mungu wako atakavyokubarikia kazi zote za mikono yako, utakazozifanya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.