1Wakumbushe wajinyenyekeze penye wakuu na wenye nguvu, wamtii na kujiweka tayari kufanya kazi njema zo zote!
4*Ndipo, ulipotutokea utu wake mwokozi na Mungu wetu aliyetupenda sisi watu,Kuaga.
12Nitakapomtuma kwako Artema au Tikiko, jikaze kuja kwangu huku Nikopoli! Kwani ndiko, ninakotaka kuzimaliza siku hizi za kipupwe.
15Wanakusalimu wote walio pamoja nami. Wasalimu wanaotupenda kwa kuwa wenye kumtegemea Mungu! Upole uwakalie ninyi nyote! Amin.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.