Waebureo 9 - Swahili Roehl Bible 1937

Hema la Agano la Kale.

1Nalo Agano la kwanza lilikuwa na maongozi ya kumtambikia Mungu, tena lilikuwa na Patakatifu palipopasa ulimwenguni.

2Kwani palikuwa pamesimamishwa hema la kuingilia; mwake mlikuwamo taa na meza na mikate aliyowekewa Bwana. Ndipo palipoitwa Patakatifu.Nguvu ya ukombozi, Kristo aliotupatia.

11*Lakini Kristo alikuja kuwa mtambikaji mkuu wa yale mema yatakayotokea, akapita katika hema lililo kubwa na timilifu kulipita lile lililotengenezwa na mikono ya watu, maana halikufanywa na viumbe vilivyopo nchini.

15Kwa sababu hii alikuwa mpatanishi aliyetuletea Agano Jipya kwamba: Walioitwa na waupate urithi wao ulio wa kale na kale, kama walivyoagiwa, kwani kufa kumeoneka kunakokomboa katika makosa yaliyofanyika siku za Agano la kwanza.*Amejitoa mara moja tu.

23Basi, mifano ya vile vilivyoko mbinguni ilipasa kutakaswa hivyo. Lakini vile vya mbinguni vyenyewe vilipaswa na vipaji vya tambiko vilivyo vyenye nguvu kuliko vile.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help