1 Mose 33 - Swahili Roehl Bible 1937
Yakobo anaonana na Esau na kupatana naye.
1Yakobo alipoyainua macho yake, atazame, mara akamwona Esau, akija pamoja na watu 400; ndipo, alipowagawanya watoto akimpa kila mama wake, Lea na Raheli na wale vijakazi wawili.