Luka 3 - Swahili Roehl Bible 1937

Yohana Mbatizaji.

1Mwaka wa 15 wa kutawala kwake Kaisari Tiberio Pontio Pilato alikuwa mtawala nchi ya Yudea, naye Herode alikuwa mfalme wa Galilea, naye Filipo, ndugu yake, alikuwa mfalme wa Iturea na wa nchi ya Tarakoniti, naye Lisania alikuwa mfalme wa Abilene,

2tena Ana na Kayafa walikuwa watambikaji wakuu. Hapo ndipo, neno la Mungu lilipomjia Yohana, mwana wa Zakaria, huko nyikani.

(3-18: Mat. 3:1-12; Mar. 1:1-8.)

3Akaenda katika nchi zote za kando ya Yordani, akatangaza ubatizo wa kujutisha, wapate kuondolewa makosa.

5Vibonde vyote vifukiwe,

navyo vilima vyote na vichuguu vyote vichimbuliwe!

Napo palipopotoka panyoshwe,

napo penye mashimo pawe njia za sawasawa,

6wote wenye miili wauone wokovu wake Mungu.

7Akawaambia makundi ya watu waliotokea, wabatizwe naye: Ninyi wana wa nyoka, nani aliwaambia ninyi, ya kuwa mtayakimbia makali yatakayokuja?Ukoo wa Yesu.(23-38: Mat. 1:1-17.)

23Yesu alipoianza kazi yake alikuwa wa miaka kama 30. Akadhaniwa kuwa mwana wa Yosefu, wa Eli,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help