1*Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Wokovu wangu uko mbali, kwa hiyo napiga kite.
6Lakini mimi ni kidudu, si mtu bado, watu wakanifyoza wote na kunibeza.
16Kwani walikuwako mbwa, wakanizunguka, kikosi cha wabaya kikanijia pande zote, kisha wakanitoboa maganja na nyayo.
19Nawe, Bwana, usiwe mbali! Kwa hivyo, unavyonishupaza, piga mbio, unisaidie!*
20Iopoe roho yangu kwenye panga! Hiyo iliyo mali yangu peke yake iopoe kwenye mbwa!
25Wewe nidwe, nitakayekukuza, makundi mengi yakusanyikapo; nayo niliyomwagia nitayalipa mbele yao wamwogopao.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.