Yosua 10 - Swahili Roehl Bible 1937

Yosua anashinda wafalme watano wa Waamori.

1Ikawa, Adoni-Sedeki, mfalme wa Yerusalemu, aliposikia, ya kuwa Yosua ameuteka Ai na kuutia mwiko wa kuwapo, ya kuwa Waai na mfalme wao amewafanyizia yaleyale, aliyoufanyizia Yeriko na mfalme wake, tena ya kuwa wenyeji wa Gibeoni wamepatana nao Waisiraeli, wakapata kukaa katikati yao:

12Siku hiyo, Bwana alipowatoa Waamori machoni pa wana wa Isiraeli, ndipo, Yosua alipomwomba Bwana akisema masikioni pa Waisiraeli:

Jua, simama kimya huko Gibeoni!

Nawe mwezi, bondeni kwa Ayaloni!

13Ndipo, jua liliposimama kimya, nao mwezi ukasimama, hata watu wawalipize adui zao. Kumbe haya hayakuandikwa katika kitabu cha Mnyofu? Basi, jua likasimama katikati ya mbinguni, lisijihimize kuchwa muda kama wa siku nzima.Upande wa kusini wa Kanaani unatekwa.

28Siku hiyo Yosua akauteka Makeda; waliokuwamo akawaua kwa ukali wa panga, hata mfalme wake, akiwatia mwiko wa kuwapo wao wote pia waliokuwamo, wasiachwe kabisa, hakusaza hata mmoja aliyekimbia; naye mfalme wa Makeda akamfanyizia yaleyale, aliyomfanyizia mfalme wa Yeriko.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help