2 Petero 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Anwani.

1Mimi Simoni Petero niliye mtumwa na mtume wa Yesu Kristo nawaandikia, ninyi myategemeayo pamoja na sisi yale makuu, tuliyopewa kwa wongofu wa Mungu wetu na wa mwokozi Yesu Kristo:

2Upole na utengemano uwafurikie, mkimtambua Mungu na Bwana wetu Yesu!

Mungu ametujulisha yote yanayotufaa.

3*Yenye nguvu ya Kimungu yapayo watu kuwapo na kumcha Mungu tumegawiwa yote hapo, tulipomtambua yeye aliyetuitia utukufu na wema wake mwenyewe.

20Nalo hili litambueni kwanza, ya kuwa hakuna neno la ufumbuo lililomo Maandikoni, linaloweza kufumbuliwa kimtu tu!

21Kwani hakuna ufumbuo wo wote ulioletwa kwa hayo, mtu ayatakayo; ila watu watakatifu wa Kimungu waliyasema yaleyale, waliyopewa na Roho takatifu.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help