1Watu wote wa Yuda wakamchukua Uzia aliyekuwa mwenye miaka 16, wakamfanya kuwa mfalme mahali pa baba yake Amasia.
2Yeye akaujenga Eloti, akaurudisha kwao Wayuda, mfalme alipokuwa amelala na baba zake.
3Uzia alikuwa mwenye miaka 16 alipoupata ufalme, akawa mfalme miaka 52 mle Yerusalemu. Jina la mama yake ni Yekolia wa Yerusalemu.
4Akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana, kama yote, baba yake Amasia aliyoyafanya.Kufa kwake Uzia.
22Mambo mengine ya Uzia, ya mwanzo na ya mwisho, aliyaandika mfumbuaji Yesaya, mwana wa Amosi.Yes. 1:1; 6:1.
23Uzia akaja kulala na baba zake, wakamzika kwa baba zake porini kwenye makaburi ya wafalme, kwani walisema: Huyu ni mkoma. Kisha mwanawe Yotamu akawa mfalme mahali pake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.