1*Basi, kama mmefufuka pamoja naye Kristo, yatafuteni yaliyoko juu! Ndiko, Kristo akaako kuumeni kwa Mungu.Kumvaa mtu mpya.
5Basi, viueni viungo viyatimizavyo yaliyopo nchini: ugoni na uchafu na tamaa na kijicho kiovu na choyo kilicho sawa na kutambikia vinyago!
12*Ninyi watakatifu na wapendwa, kwa hivyo, mlivyochaguliwa na Mungu, vaeni mioyo yenye huruma za kweli na utu na unyenyekevu na upole na uvumilivu!Kuwaonya wake na waume, watoto na watumwa.(18—4:1: Ef. 5:22-6:9)
18Ninyi wake, watiini waume wenu, kama inavyowapasa walio wa Bwana!
19Ninyi waume, wapendeni wake zenu, msiwaendee kwa ukali!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.