1 Wakorinto 12 - Swahili Roehl Bible 1937

Vipaji vya Roho.

1*Lakini ndugu, sitaki, ninyi mkose kuyajua mambo ya Kiroho.

2Mnajua: Mlikuwa wamizimu, napo po pote, mlipoongozwa, mlipenda kuyafuata matambiko ya vinyago visivyosema.

4Kweli yako mapitano ya magawio, lakini Roho ni yule mmoja.Mwili na viungo.

12Kwani ni kama vya mwili: ulio mmoja unavyo viungo vingi; tena viungo vyote vya mwili, ingawa ni vingi, ni mwili mmoja tu; vivyo hivyo naye Kristo.Mungu aliowawekea wateule.

28Wako, Mungu aliowawekea wateule: kwanza mitume, wa pili wafumbuaji, wa tatu wafunzi, kisha wenye nguvu, kisha wenye magawio ya kuponya wagonjwa nao watumikizi nao wenye kuongoza nao wenye misemo migeni.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help