Mashangilio 138 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuushukuru welekevu wa Mungu.Wa Dawidi.

1Kwa moyo wangu wote nitakushukuru, nitakuimbia na kupiga zeze mbele ya miungu.

3Siku, nilipokuita, uliniitikia, ukaishupaza roho yangu na kuitia nguvu.

4Bwana, wafalme wote wa nchi watakushukuru watakapokuwa wameyasikia maneno, kinywa chako kiliyoyasema.

7Kama ninaendelea kusongeka po pote, unanishika moyo, nisizimie; makali ya adui zangu uliyainulia mkono wako. mkono wako wa kuume ukaniokoa.

8Bwana atanimalizia jambo hili, upole wako, Bwana, ni wa kale na kale. Kazi za mikomo yako usiziache!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help