Mashangilio 141 - Swahili Roehl Bible 1937
Kumwomba Mungu, atulinde.Wimbo wa Dawidi.
1Bwana, nimekuita, unijie upesi! Isikilize sauti yangu, nikikuita!
2Maombo yangu na yapande kufika kwako kama moshi wa uvumba! Kipaji changu cha tambiko cha jioni ni mikono, nikuinuliayo.