Mpiga mbiu 10 - Swahili Roehl Bible 1937

Werevu wa kweli na ujinga huwa kwa wakuu na kwa wadogo.

1Mainzi waliokufa huyaozesha kwa kuyachafua mafuta ya mtengeneza manukato, ujinga hufanya makuu kuliko werevu wa kweli na utukufu.

2Moyo wa mwerevu wa kweli huelekea kuumeni, lakini moyo wa mjinga huelekea kushotoni.

3Napo njiani po pote, mjinga anapokwenda, hupotelewa na akili, hivyo hujitokeza kwao wote kuwa mjinga.

4Roho ya mtawalaji ikikuinukia, usiondoke mahali pako, kwani upole hutuliza makosa makubwa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help