1Hizikia akaupata ufalme alipokuwa mwenye miaka 25, akawa mfalme miaka 29 mle Yerusalemu. Jina la mama yake ni Abia, binti Zakaria.
31Kisha Hizikia akawaitikia akisema: Sasa mmeyajaza magao yenu kumtumikia Bwana, basi, karibuni, mlete huku kwenye Nyumba ya Bwana ng'ombe za tambiko na vipaji vya shukrani! Ndipo, watu wa huo mkutano walipoleta ng'ombe za tambiko na vipaji vya shukrani, kila mtu akatoa ng'ombe za tambiko, kama moyo ulivyopenda.
32Hesabu ya ng'ombe za tambiko, watu wa huo mkutano walizozitoa, ikawa ng'ombe 70, madume ya kondoo 100, wana kondoo 200; hawa wote walikuwa wa kumteketezea Bwana.
33Tena za matambiko mengine wakatolewa ng'ombe 600 na kondoo na mbuzi 3000.
34Watambikaji tu walikuwa wachache, hawakuweza kuwachuna ng'ombe wote wa kuteketezwa, kwa hiyo ndugu zao Walawi wakawasaidia, mpaka kazi hii ikaisha, tena mpaka watambikaji wakajieua, kwani Walawi walikuwa wenye mioyo iliyojihimiza kujieua kuliko yao watambikaji.2 Mambo 30:3,16-17.
35Nao ng'ombe wa kuteketezwa nzima walikuwa wengi, vilevile vipande vyenye mafuta ya ng'ombe za tambiko za shukurani na vinywaji vya tambiko vilivyopasa kila ng'ombe ya tambiko. Ndivyo, utumishi wa Nyumbani mwa Bwana ulivyotengenezwa tena.3 Mose 3:3,16-17; 4 Mose 15:5,7,10.
36Hizikia na watu wote wakafurahi kwa hayo, Mungu aliyowatengenezea watu, kwani jambo hili lilifanyika kwa upesi sana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.