Mashangilio 44 - Swahili Roehl Bible 1937

Kilio cha walipotolewa.Kwa mwimbishaji. Fundisho la wana wa Kora.

1Mungu, tulisikia na masikio yetu, baba zetu wakituambia: Ulitenda tendo siku zao, hata siku za kale.

23Amka! Sababu gani umelala usingizi, Bwana wangu? Inuka! Usinitupe kale na kale!Sh. 35:23.

24Sababu gani unauficha uso wako? Umeyasahau maumivu yetu yatusongayo?Sh. 10:1.

25Kweli roho zetu zimeinamishwa kulala uvumbini, nayo miili yetu imegandamiana na mchanga wa chini.

26Mwenye msaada, inuka, uje kwetu! Kwa ajili ya huruma yako tukomboe!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help