Yeremia 44 - Swahili Roehl Bible 1937
Wayuda wanaonywa kwa ajili ya kutumikia miungu mingine.
1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kuwaambia Wayuda wote waliokaa katika nchi ya Misri, ndio waliokaa Migidoli na Tahapanesi na Nofu na katika nchi ya Patirosi, la kwamba: