5 Mose 25 - Swahili Roehl Bible 1937

Fimbo za kupiga watu.

1Watu watakapogombana na waende shaurini, waamuliwe, mwamuzi akimtokeza asiyekosa kuwa hakukosa, naye aliyekosa kuwa amekosa.

2Huyo mkosaji akipaswa na kupigwa, mwamuzi na amlaze chini, wampige mbele yake fimbo zilizoyapasa maovu yake, nazo zihesabiwe.

3Wakiisha kumpiga 40 wasiendelee! Kwani wakiendelea kumpiga kuzipita hizo, mapigo yatazidi, naye ndugu yako atabezwa machoni pako.

4Ng'ombe mwenye kupura ngano usimfunge kinywa!Agizo la kumwoa mjane wa ndugu.

5Ndugu wakikaa pamoja, mmoja wao akafa pasipo kuacha mwana wa kiume, mkewe yule aliyekufa asiolewe nje na mtu mgeni, ila ndugu yake mumewe sharti amwingilie na kumchukua kuwa mkewe, amsimikie ndugu yake unyumba.Waamaleki sharti wang'olewe.

17Yakumbuke, Waamaleki waliyokufanyizia njiani, mlipotoka Misri!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help