1Nikaona mkononi mwa kuume mwake yule aliyekaa kitini mwa kifalme kitabu kilichoandikwa ndani na mgongoni, nacho kilikuwa kimetiwa muhuri saba.Kinatwaliwa na Mwana kondoo.
6Kisha nikaona mwana kondoo aliyesimama katikati penye kiti cha kifalme na wale nyama wanne na wale wazee, naye alikuwa, kama amechinjwa. Alikuwa na pembe saba na macho saba; ndio zile roho saba za Mungu zilizotumwa kwenda kuzifikia nchi zote.Sifa ya Mwana kondoo.
11Kisha nikaona, nikasikia sauti ya malaika wengi waliokizunguka kiti cha kifalme na wale nyama na wale wazee. Nilipowahesabu, walikuwa maelfu na maelfu na maelfu, wakasema kwa sauti kuu:
12Mwana kondoo aliyechinjwa amepaswa na kupokea
uwezo na malimbiko na werevu wa kweli
na nguvu na heshima na utukufu na mapongezo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.