1Kwa sababu Kristo aliteswa mwilini kwa ajili yetu, jipeni nanyi mioyo iliyo hivyo, iwashindishe! Kwani atesekaye mwilini huacha kukosa,
2nazo siku zake zilizosalia za kuwapo mwilini hatazimaliza na kuzifuata tamaa za watu, ila atafanya, Mungu ayatakayo.
3Kwani inatosha, ya kuwa siku zilizopita mmeyafanya, wamizimu wayatakayo, mkifuata uasherati na tamaa na ulevi na ulafi na unywaji na matambiko ya vinyago yamchukizayo Mungu.Maonyo menginemengine.
7Mwisho wa vitu vyote uko karibu. Kwa hiyo mjiangalie, mlevuke, mpate kuomba!
8*Lakini kupita yote: jikazeni kupendana wenyewe! Kwani upendano hufunika makosa mengi.Mateso kwa ajili ya Kristo.
12*Wapendwa, msistuke kama wenye kuona neno geni mkipatwa na mambo yenye moto! Maana mtajaribiwa tu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.