Yosua 18 - Swahili Roehl Bible 1937

Nchi zilizosalia zinapigiwa kura huko Silo penye Hema Takatifu.

1Mkutano wote wa wana wa Isiraeli ukakusanyika huko Silo, wakapanga huko lile Hema la Mkutano, kwani nchi hii ilikuwa imekwisha kushindwa nao.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help