4 Mose 13 - Swahili Roehl Bible 1937

Watu 12 wanatumwa kupeleleza Kanaani.(Taz. 5 Mose 1:19-25.)

1Bwana akamwambia Mose kwamba:

2Tuma watu kwenda kuipeleleza nchi ya Kanaani, mimi ninayotaka kuwapa wana wa Isiraeli. Kila shina la baba zao na litoe mtu mmoja, mtakayemtuma, nao wote wawe wakuu kwao.

3Kwa kuagizwa na Bwana Mose akawatuma kutoka kule nyikani kwa Parani, nao watu hao wote walikuwa vichwa vya wana wa Isiraeli.

4Nayo haya ndiyo majina yao: wa shina la Rubeni Samua, mwana wa Zakuri,

5wa shina la Simeoni Safati, mwana wa Hori,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help