1Wapendwa, msiitikie kila roho, ila zijaribuni roho, kama zimetoka kwa Mungu! Kwani wafumbuaji wa uwongo wengi wametokea ulimwenguni.Mungu ni pendo.
7Wapendwa, tupendane sisi kwa sisi! Kwani upendo ni wa Kimungu. Kila mwenye kupenda amezaliwa naye Mungu, naye humtambua Mungu.
8Asiyependa hakumtambua Mungu kwamba: Mungu ni upendo.
9*Upendo wake Mungu wa kutupenda sisi umeonekana waziwazi hapo, Mungu alipomtuma Mwana wake wa pekee kuja ulimwenguni, sisi tupewe naye uzima.
*Mungu ni upendo; naye mwenye upendo hukaa mwake Mungu, naye Mungu hukaa mwake yeye.
17Upendo, tupendwao nao, unatimilika hapo, tukiweza kuishangilia siku ya hukumu; kwani yeye alivyo, ndivyo, tulivyo na sisi humu ulimwenguni.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.