1Haya ndiyo maneno ya Agano, Bwana aliyomwagiza Mose kulifanya na wana wa Isiraeli katika nchi ya Moabu, tena liko Agano lile, alilolifanya nao mlimani kwa Horebu.
2Mose akawaita Waisiraeli wote, akawaambia: Ninyi mliona yote, Bwana aliyomfanyizia Farao, nao watumishi wake wote na wenyeji wote wa nchi yake machoni penu katika nchi ya Misri.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.