1Kwani twajua, ya kuwa hivi vijumba vyetu, tupangamo nchini, vitakapobomolewa, tunayo majengo yaliyojengwa na Mungu, ni nyumba zisizojengwa na mikono ya watu, nazo hukaa kale na kale huko mbinguni.Mapatano ya Kimungu.
11Kwa sababu twajua, ya kuwa Bwana huogofya, twawaonya watu, lakini Mungu ndiye, tumtokeaye hivyo, tulivyo. Lakini ninacho kingojeo cha kwamba: Mioyo yenu inajua, ya kuwa nayo tumeitokea hivyo, tulivyo.
12Hatujisifu tena mbele yenu, ila twataka kuwapa ninyi sababu ya kujivuna kwa ajili yetu, mpate kuwajibu wale wanaojivunia yaliyo machoni tu, yasiyo namo mioyoni.
14*Kwani upendo wa Kristo hutuhimiza sisi, tukawaza hivyo: Mmoja alipokufa kwa ajili yao wote, kwa hiyo wote wamekwisha kufa.
15Naye alipokufa kwa ajili yao wote alitaka, walio hai wasijikalie wenyewe, ila wamkalie yeye aliyekufa kwa ajili yao, kisha akafufuliwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.