1Lakini kwa ajili ya mchango, watakatifu wanaochangiliwa, fanyeni nanyi, kama nilivyowaagiza wateule wa Galatia!Timoteo na Apolo.
10Lakini Timoteo atakapofika, mmtazame, akae kwenu pasipo woga! Kwani naye anaifanya kazi ya Bwana kama mimi.Stefana.
13Kesheni! Kukalieni kumtegemea Bwana, mwe waume wenye nguvu!Salamu.
19Wateule wote walioko Asia wanawasalimu. Akila na Puriskila pamoja nao wote wanaokusanyika nyumbani mwao wanawasalimu sana, kwa kuwa m wa Bwana.Tume. 18:2,18,26; Rom. 16:3-5.
20Nao ndugu wote wanawasalimu. Mwamkiane mkinoneana, kama watakatifu walivyozoea!Rom. 16:16; 2 Kor. 13:12; 1 Petr. 5:14.
21Hii salamu yangu mimi Paulo naiandika kwa mkono wangu.Kol. 4:18; 2 Tes. 3:17.
22Mtu asiyempenda Bwana na awe ameapizwa! Bwana anakuja.Gal. 1:8-9.
23Upole wa Bwana Yesu uwakalie ninyi!Ufu. 22:20.
24Upendo wangu wa kuwapenda ninyi, kwa kuwa m wake Yesu Kristo, uwakalie ninyi nyote! Amin.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.