1Ndipo, Samweli alipokitwaa kichupa cha mafuta, akayamiminia kichwa chake, akamnonea midomo na kumwambia: Hivi ndivyo, Bwana anavyokupaka mafuta, uwe mkuu wao walio fungu lake.
2Utakapotoka kwangu leo, utaona watu wawili penye kaburi la Raheli mpakani mwa Benyamini huko Selsa, nao watakuambia: Wale punda wa kike, uliokwenda kuwatafuta, wameonekana. Tazama, baba yako ameyaacha mambo ya punda kwa kuwahangaikia ninyi akisema: Mwanangu nimfanyie nini?
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.