1Mambo hayo yalipomalizika neno la Bwana likamjia Aburamu katika ndoto kwamba: Usiogope Aburamu! Mimi ni ngao yako, nao mshahara wako ni mwingi.Mungu anafanya maagano na Aburamu.
7Kisha akamwambia: Mimi ni Bwana, nimekutoa kule Uri wa Wakasidi, nikupe nchi hii, uichukue kuwa yako.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.