1Neno la Bwana likanijia katika mwaka wa 9 katika mwezi wa kumi siku yake ya kumi kwamba:
25Nawe mwana wa mtu, isiwe hivyo? Siku, nitakapoyachukua kwao yaliyowapa nguvu, yaliyokuwa furaha yao kwa kuwapa utukufu, macho yaliyoyatamani, yaliyowashika mioyo yao wana wao wa kiume na wa kike,
26siku ile atakuja kwako mtu aliyekimbia, ayasimulie masikioni pako.Ez. 33:21.
27Siku ile kinywa chako kitafumbuliwa papo hapo, yule mtoro atakapofika kwako, useme, usinyamaze tena; ndipo, utakapowawia kielekezo, nao watajua, ya kuwa mimi ni Bwana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.