Waebureo 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Kwa hiyo tulitii Neno lake!

1Kwa hiyo imetupasa kujikaza, tushikamane nayo, tuliyoyasikia, tusitengeke penye wokovu!

2Kwani neno lile lililosemwa na malaika lilikuwa na nguvu; kila aliyepitana nalo naye aliyekataa kulisikia akapata lipizi limpasalo.Ametimilika kwa njia ya mateso.

5Kwani malaika sio, aliowapa kuutawala ulimwengu utakaokuja, tunaousema.

6Lakini pako paliposemwa ushuhuda wa kwamba:

Mtu ndio nini, umkumbuke?

Mwana wa mtu naye, umkague?

7Ulimpunguza kidogo, asilingane na malaika,

ukamvika kilemba chenye utukufu na macheo,

8yote pia ukayaweka kuwa chini miguuni pake.

Basi, hapo, alipoviweka vyote chini yake, hakukisaza hata kimoja, asichokiweka chini yake. Lakini sasa hatujaona bado, ya kuwa vyote vimewekwa chini yake.

9Lakini kule kwamba: Alipunguzwa kidogo, asilingane na malaika, tunaona, ya kuwa kumetimia kwake Yesu. Kwa hivyo, alivyokufa matesoni, alivikwa kilemba chenye utukufu na macheo, maana aligawiwa na Mungu, awaonjee wote uchungu wa kufa.

12Nitawasimulia ndugu zangu mambo ya Jina lako,

nitakuimbia wewe katikati yao walio wateule.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help