1Sasa tusemeje? Tufulize kukosa, magawio nayo yafurike?
12Kwa hiyo ukosaji usishike ufalme katika miili yenu yenye kufa, mzitii tamaa zao!Malipo ya makosa.
15Basi, inakuwaje? Tukose vivyo hivyo, kwa sababu nguvu yetu siyo ya Maonyo, ila ya upole? La sivyo!
19*Nasema kimtu kwa ajili ya unyonge wa miili yenu: Kama mlivyovitoa viungo vyenu kuutumikia kitumwa uchafu na upotovu, mkajifikisha penye kupotolewa, vivyo hivyo vitoeni sasa viungo vyenu kuutumikia kitumwa wongofu, mjifikishe penye kutakaswa!
20Kwani mlipokuwa watumwa wa ukosaji, siku zile mlikuwa hamna wongofu hata kidogo.
21Basi, siku zile mlikuwa na mapato gani? Sasa hivi mnayaonea soni, kwani mwisho wao ni kufa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.