1 Wakorinto 5 - Swahili Roehl Bible 1937
Kumtenga mgoni.
1Po pote panasikilika, ya kwamba kwenu uko ugoni; tena ugoni ulio hivyo hata kwa wamizimu hauko, mtu akiwa na mke wa baba yake.
6Majivuno yenu si mema. Hamjui, ya kuwa chachu kidogo hulichachusha donge lote?