1Dawidi akauliza: Yuko bado aliyesalia wa mlango wa Sauli, nimgawie mema kwa ajili yake Yonatani?
2Kulikuwako mtumishi wa nyumbani mwa Sauli, jina lake Siba; wakamwita, aje kwa Dawidi, naye mfalme akamwuliza: Wewe ndiwe Siba? Akasema: Ndimi mtumishi wako.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.