1Ikawa, Yesu alipoyamaliza maneno hayo yote, akawaambia wanafunzi wake:Getisemane.(36-46: Mar. 14:32-42; Luk. 22:40-46.)
36Kisha Yesu akaenda pamoja nao mahali panapoitwa Getisemane. Akawaambia wanafunzi: Kaeni hapa, niende kule, niombe!
37Akamchukua Petero na wale wana wawili na Zebedeo, akaanza kusikitika na kuhangaika,
42Akaenda tena mara ya pili, akaomba akisema: Baba, isipowezekana, hiki kinipite, nisikinywe, basi, uyatakayo wewe na yafanyike!Kukamatwa kwa Yesu.(47-56: Mar. 14:43-50; Luk. 22:47-53; Yoh. 18:3-12.)
47Angali akisema, mara akaja Yuda, mmoja wao wale kumi na wawili, pamoja na watu wengi sana wenye panga na rungu waliotoka kwa watambikaji wakuu na kwa wazee wa huko kwao.
48Lakini mwenye kumchongea alikuwa amewapa kielekezo akisema: Nitakayemnonea ndiye, mkamateni!
49Mara akamjia Yesu, akasema: Salamu, mfunzi mkuu! Akamnonea.
50Yesu akamwambia: Mwenangu, umejia nini? Ndipo, walipokuja, wakamkamata Yesu kwa mikono yao, wakamfunga.
51Papo hapo wale waliokuwako pamoja na Yesu mmoja wao akanyosha mkono, akauchomoa upanga wake, akampiga mtumwa wa mtambikaji mkuu, akamkata sikio.
52Ndipo, Yesu alipomwambia: Urudishe upanga wako mahali pake! kwani wote wenye kushika panga wataangamizwa kwa upanga.(57-75: Mar. 14:53-72; Luk. 22:54-71; Yoh. 18:12-27.)
57Lakini wale waliomkamata Yesu wakampeleka kwa mtambikaji mkuu Kayafa; ndiko, walikokusanyika waandishi na wazee.
58Lakini Petero akamfuata mbalimbali, mpaka akafika uani kwa mtambikaji mkuu, akaingia ndani akakaa pamoja na watumishi, uone mwisho.
Yesu mbele ya Kayafa.59Lakini watambikaji wakuu na baraza ya wakuu wote wakamtafutia Yesu ushuhuda wa uwongo, wapate kumwua.
60Lakini hawakuupata, ingawa walikuja mashahidi wa uwongo wengi, lakini hawakumshinda.
61Halafu wakaja wawili, wakasema: Huyu amesema: Nina nguvu ya kulivunja Jumba la Mungu na kulijenga tena muda wa siku tatu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.