Ufunuo 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Ufunuo huu ulikotoka.

1Huu ndio ufunuo wa Yesu Kristo, aliopewa na Mungu, awaonyeshe watumwa wake mambo yatakayo kufanyika upesi. Ndipo, alipomtuma malaika wake, amweleze mtumwa wake Yohana, hayo mambo.A na O.

4Mimi Yohana nawasalimu ninyi makundi saba ya wateule yaliyoko Asia. Upole uwakalie na utengemano unaotoka kwake yeye aliopo, aliyekuwapo, atakayekuja! Tena unatoka nako kwao roho saba walioko mbele ya kiti chake cha kifalme,

8Mimi ni A na O, ni kwamba: Mwanzo na Mwisho;

ndivyo, Bwana Mungu anavyosema

aliopo, aliyekuwapo, atakayekuja, aliye Mwenyezi.Mwana wa mtu.

9Mimi Yohana, ndugu yenu na mwenzenu wa maumivu na wa ufalme na wa uvumilivu, tupewao na Yesu, nilikuwa katika kisiwa kinachoitwa Patimo. Nilikuwako, maana nalilitangaza Neno la Mungu na kumshuhudia Yesu.

10Nikawapo kiroho penye siku ya Bwana, nikasikia nyuma yangu sauti kuu kama ya baragumu,Fumbo la nyota 7 na la taa 7.

17Nami nilipomwona nikaanguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Ndipo, aliponibandikia mkono wake wa kuume, akasema: Usiogope! Mimi ndiye wa kwanza na wa mwisho

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help