5 Mose 33 - Swahili Roehl Bible 1937

Mose anayabariki mashina ya Waisiraeli.

1Hii ndiyo mbaraka, Mose, yule mtu wa Mungu, aliyowabariki wana wa Isiraeli kabla ya kufa kwake,

6Rubeni na awepo uzimani, asife, ijapo watu wake wahesabike.

7Nayo hii ni mbaraka ya Yuda, akasema: Bwana, uisikie sauti ya Yuda! Umwingize kwao walio ukoo wake! Kwani mikono yake itakapowapigia vita, nawe msaidie kuwashinda wapingani wake!

8Naye Lawi akamwambia: Mwanga wako na Kweli yako ni yao watu wako wamchao Mungu, uliowajaribu kule Masa na kuwagombeza kwenye Maji ya Magomvi.

22Naye Dani akamwambia: Dani ni mwana mchanga wa simba, hushambulia na kutoka Basani.

23Nafutali akamwambia: Nafutali atashiba yampendezayo, azidishiwe mbaraka ya Bwana; chukua nchi ya baharini na ya kusini, iwe yako!

24Naye Aseri akamwambia: Aseri ndiye katika hawa wana atakayepata mbaraka zaidi, tena atakuwa mpendwa wao ndugu zake, nao mguu wake atauchovya katika mafuta;

25makomeo yake yatakuwa ya chuma na ya shaba, nazo nguvu zako ziwe zizo hizo siku zote, utakazokuwapo.

26Mungu wake Yeshuruni, hakuna wa kufanana naye, ndiye anayepita juu mbinguni, akusaidie, namo mawinguni, auonyeshe utukufu wake.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help