1*Nasi tulio wenziwe wa kazi twawaonya, msigawiwe bure kipaji cha Mungu.
11Enyi Wakorinto, tumewafumbulia vinywa vyetu, tena mioyo yetu nayo imewafungukia kabisa.
12Humu ndani yetu penu sipo padogo, lakini mioyoni mwenu mnasongeka.
13Nasema nanyi kama na watoto wangu, nikiwaambia: Tulipeni vivyo hivyo, mkitupatia nasi pakubwa mioyoni mwenu!Kuwaepuka wasio wa Mungu.
14*Msiingie utumwa wa mwingine pamoja nao wasiomtegemea Mungu! Je? Yako magawio wongufu na upotovu unayoyagawiana? Au iko bia ya mwanga na ya giza?
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.