1Kwa kuwa mimi nimeendelea pasipo kosa, niamulie, Bwana! Bwana ndiye, nimwegemeaye pasipo kutikisika.
2Nijaribu, Bwana, na kunipima, unichuje mafigo, hata moyo!
9Usiikusanye roho yangu pamoja nazo zao wakosaji! Usininyime uzima pamoja nao wauao wenzao!
10Mikononi mwao yamo mapotovu, mikono yao ya kuume imejaa mapenyezo.
11Lakini mimi ninaendelea pasipo kosa; kwa kunihurumia nikomboe!
12Miguu yangu huenda paliponyoka, nimtukuze Bwana katika mikutano.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.