1 Yohana 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Neno lenye uzima lilikuwapo tangu mwanzo.

1*Yaliyokuwapo tangu mwanzo, tuliyoyasikia, tuliyoyaona kwa macho yetu, tuliyoyatazama na kuyapapasa kwa mikono yetu, ndiyo, tunayoyatangaza kuwa Neno lenye uzima.Damu ya Yesu huondoa makosa.

5Nao utume, tuliousikia kwake, tunaowatangazia ninyi, ndio huu: Mungu ni mwanga, namo mwake hamna giza iwayo yote.Yak. 1:17.

6Tukisema: Tuko na bia naye, kisha tunaendelea gizani, twasema uwongo, nayo yaliyo ya kweli hatuyafanyi.1 Yoh. 2:4.

7Lakini tukiendelea mwangani, kama yeye alivyo mwangani, tuko na bia yetu sisi kwa sisi, nayo damu ya Yesu, Mwana wake, hututakasa, makosa yote yatutoke.Ebr. 9:14; Ufu. 1:5; 7:14.

8Tukisema: Makosa hatunayo, tunajidanganya wenyewe, nayo kweli haimo mwetu.

9Lakini tukiyaungama makosa yetu, yeye ni mwelekevu na mwongofu, atuondolee makosa, kisha atutakase, upotovu wote ututoke.Fano. 28:13.

10Tukisema: Hatukukosa, twamfanya yeye kuwa mwongo, tena Neno lake halimo mwetu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help