1 Wafalme 13 - Swahili Roehl Bible 1937

Yeroboamu anaonywa na mfumbuaji.

1Mara akatokea mtu wa Mungu. Naye alitoka Yuda kuja Beteli kwa kuagizwa na Bwana. Akatokea papo hapo, Yeroboamu aliposimama penye meza ya kutambikia, avukize.

2Kwa kuagizwa na Bwana akapaza sauti kwa ajili ya hiyo meza ya kutambikia, akasema: Meza ya kutambikia! Meza ya kutambikia! Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Tazama! Nyumbani mwa Dawidi atazaliwa mwana, jina lake Yosia; yeye atachinja juu yako kuwa ng'ombe za tambiko watambikaji wa vijumba vya vilimani wanaovukiza juu yako; ndipo, watakapoteketeza juu yako mifupa ya watu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help