Mateo 14 - Swahili Roehl Bible 1937

Kufa kwa Yohana.(1-12: Mar. 6:14,17-30; Luk. 3:19-20; 9:7-9.)

1Siku zile mfalme Herode alipousikia uvumi wa Yesu,

2akawaambia watoto wake: Huyo ndiye Yohana Mbatizaji, amefufuka katika wafu, kwa sababu hii nguvu hizo humtendesha kazi.

3Kwani Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia kifungoni kwa ajili ya Herodia, mke wa nduguye, Filipo.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help